Disprosi
Disprosi (Kigiriki dysprósitos „isiyopatikana“) ni elementi na metali nzito na laini yenye namba atomia 66 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 162.50. Alama yake ni Dy.
Disprosi (dysprosium) | |
---|---|
Jina la Elementi | Disprosi (dysprosium) |
Alama | Dy |
Namba atomia | 66 |
Uzani atomia | 162,50 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 1680 K (1407 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 2840 K (2567 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 4 · 10-4 % |
Tabia
Disprosi huhesabiwa kati ya Lanthanidi inaonekana kama metali nzitonzito yenye rangi ya kifedha. Haina matumizi mingi kwa jumla ni kama tani 100 kwa mwaka pekee inakorogwa hasa ndani ya aloi mbalimbali.
Historia
Disprosi ilitambuliwa mara ya kwanza mjini Paris mnamo mwaka 1886 na mwanakemia Mfaransa Paul Émile Lecoq de Boisbaudran.
Viungo vya Nje
- WebElements.com – Dysprosium
- Los Alamos National Laboratory – Dysprosium Archived 13 Machi 2009 at the Wayback Machine.
- Disprosi
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Disprosi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia