Dereva
Dereva (kutoka Kiingereza "driver") ni mtu ambaye anakiongoza chombo cha moto kwenda mahala fulani. Dereva huwaendesha abiria sehemu wanayotaka mpaka pale anapoishia yeye alipangiwa au alipopanga kuishia.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9d/Marie_Marvingt_in_Deperdussin_aeroplane_1912.jpg/220px-Marie_Marvingt_in_Deperdussin_aeroplane_1912.jpg)
Dereva anapokuwa barabarani huwa makini maana madereva wengi husababisha ajali na hatimaye vifo kwa sababu ndogo zisizoeleweka, halafu wakishasabisha ajali hukimbia kusikojulikana.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/08/Keke_Driver.jpeg/220px-Keke_Driver.jpeg)
Dereva naye hulipwa pale anapofanya kazi au hujilipa mwenyewe kwa kula na familia yake au kama hana familia hujihudumia kwa malazi, chakula n.k.
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dereva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya