Daniel Ortega

Jose Daniel Ortega Saavedra (amezaliwa 11 Novemba 1945) ni mwanasiasa wa Nikaragua. Ni rais wa Nikaragua tokea mwaka 2007[1]. Pia alitumikia kama rais kuanzia mwaka 1979 mpaka 1990. Mnamo Novemba 2021, Daniel Ortega, alichaguliwa tena kwa muhula wa nne wa miaka mitano na 75% ya kura, kulingana na matokeo rasmi ya kwanza yaliyotolewa na Baraza Kuu la Uchaguzi.

Daniel Ortega


Aliingia ofisini 
10 Januari 2007
Makamu wa RaisJaime Morales Carazo
Omar Halleslevens
Muda wa Utawala
10 Januari 1985 – 25 Aprili 1990
Makamu wa RaisSergio Ramírez Mercado
aliyemfuataVioleta Chamorro
Muda wa Utawala
18 Julai 1979 – 10 Januari 1985
mtanguliziFrancisco Urcuyo (Rais wa mpito)
aliyemfuataYeye mwenyewe(Rais)

tarehe ya kuzaliwa11 Novemba 1945 (1945-11-11) (umri 78)
La Libertad, Nicaragua
jina ya kuzaliwaJosé Daniel Ortega Saavedra
chamaSandinista National Liberation Front
ndoaRosario Murillo (1979–hadi sasa)
diniRomani katoliki

Marejeo