Bustani ya wanyama
Bustani ya wanyama ni mahali ambapo wanyama, hasa wanyamapori wa aina mbalimbali, wanatunzwa ili watu wapate kuwatazama. Siku hizi bustani Za wanyama zimekuwa pia mahali pa kutunza spishi au aina za wanyama walioko hatarini kutokomea. Vile vile bustani za wanyama zimewekwa kwa ajili ya maonyesho[1].
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/49/Amersfoort_Zoo_Siberian_Tigers.jpg/300px-Amersfoort_Zoo_Siberian_Tigers.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/45/Panda_enclosure_at_Chiang_Mai_zoo-KayEss-2.jpeg/300px-Panda_enclosure_at_Chiang_Mai_zoo-KayEss-2.jpeg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/2c/Parc_animalier_pyrenees_5.jpg/300px-Parc_animalier_pyrenees_5.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/1c/Sydney_taronga_zoo.jpg/300px-Sydney_taronga_zoo.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/15/At_the_zoo.jpg/300px-At_the_zoo.jpg)
Miji mingi mikubwa duniani ina bustani za wanyama[2]. Katika baadhi ya bustani hizo watu hulipa kiingilio wakitaka kuingia. Hata hivyo bustani hizo hazipokei mapato ya kutosha, hivyo hazina budi kupokea pia misaada kutoka serikali.
Umuhimu wa bustani za wanyama ni katika
Marejeɒ
Viungo vya Nje
- Tovuti ramsi Bustani ya Wanyama Johannesburg
- [http://www.zoo.ac.za Tovuti rasmi Bustani ya Wanyama Pretoria
- Bustani ya wanyama Giza (Kairo [http://web.archive.org/20070527051946/http://www.jhbzoo.org.za/ Archived 27 Mei 2007 at the Wayback Machine.-Misri)]
- Association of Zoos and Aquariums (AZA) North American Association of Zoos and Aquariums
- Zoos Worldwide Zoos, aquariums, animal sanctuaries and wildlife parks
- World Association of Zoos and Aquariums
- Zoological Gardens keeping Asian Elephants
- AIZA
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bustani ya wanyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia