Blessing Diala

Mchezaji wa soka wa Nigeria

Blessing Nnabugwu Diala (alizaliwa 8 Desemba 1989,Gaborone) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria. Blessing anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya ligi ya wanawake ya Equatorial Guinea iitwayo Deportivo Evinayong.[1][2]

Blessing Nnabugwu Diala
Amezaliwa8 Desemba 1989
Gaborone
NchiNigeria
Kazi yakeMchezaji soka

Heshima na tuzo

Timu ya taifa

Equatorial Guinea

  • Kombe la Mataifa ya Afrika la Wanawake: 2008

Marejeo

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blessing Diala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.