Binti Yairo
Binti Yairo ni maarufu kama msichana aliyefufuliwa na Yesu Kristo kama inavyosimuliwa na Injili ndugu (Mk 5:21–43; Math 9:18–26; Lk 8:40–56).
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/30/Paolo_Veronese_cat01c.jpg/240px-Paolo_Veronese_cat01c.jpg)
Yairo, baba yake, alikuwa amemkimbilia Yesu kwa ajili yake.
Walipofika nyumbani walikuta msiba umeshaanza, lakini Yesu alifukuza waombolezaji, akamfufua mtoto huyo wa miaka 12 mbele ya wazazi wake, Petro, Yakobo Mkubwa na Yohane tu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
![]() | Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Binti Yairo kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya