Bill Bailey
Mark Bill Bailey (alizaliwa 13 Januari 1965)[1] akijulikana kitaalam zaidi kama Bailey ni mwanamuziki, mchekeshaji na mwigizaji wa Uingereza. Anajulikana kwa jukumu lake kama Manny kwenye sitcom (Black Books, Never Mind the Buzzcocks na Have I Got News for You).[2] Pia kwa kazi yake ya ucheshi akiwa jukwaani. Anacheza ala mbalimbali za muziki na kuimba muziki katika maonyesho yake.[3]
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/1f/Bill_Bailey_rocking_out.jpg/180px-Bill_Bailey_rocking_out.jpg)
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bill Bailey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia