Big Hero 6 (filamu)

Big Hero 6 ni filamu ya katuni ya mwaka 2014 kutoka Marekani iliyotayarishwa na Walt Disney Animation Studios na kutolewa na Walt Disney Pictures. Hii ni filamu ya 54 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics.[5]

Big Hero 6
Imeongozwa na
  • Don Hall
  • Chris Williams
Imetayarishwa naRoy Conli
Imetungwa na
  • Jordan Roberts
  • Robert L. Baird
  • Dan Gerson
Nyota
  • Scott Adsit
  • Ryan Potter
  • Daniel Henney
  • T.J. Miller
  • Jamie Chung
  • Damon Wayans Jr.
  • Genesis Rodriguez
  • James Cromwell
  • Maya Rudolph
  • Alan Tudyk
Muziki naHenry Jackman
Sinematografi
  • Rob Dressel (layout)
  • Adolph Lusinsky (lighting)
Imehaririwa naTim Mertens
Imesambazwa naWalt Disney Studios
Motion Pictures
Imetolewa tar.Oktoba 23, 2014 (2014-10-23) (Tokyo International Film Festival)
Novemba 7, 2014 (2014-11-07) (Marekani)
Ina muda wa dk.Dk. 102[1][2]
NchiMarekani
LughaKiingereza
Bajeti ya filamu$165 million[3][4]
Mapato yote ya filamu$657.8 million[4]

Marejeo

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Big Hero 6 (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.