Baraza la Sanaa Tanzania
(Elekezwa kutoka BASATA)
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ni Shirika Maalum lenye mwingiliano wa kiutendaji kati ya serikali na wadau wa sanaa ambalo liliundwa makhususi kwa lengo la kusimamia shughuli za sanaa nchini Tanzania, liliundwa kwa mujibu wa sheria Na. 23 ya 1984. Ni wakala wa Serikali katika kusimamia na kukuza shughuli za Sanaa.
Viungo vya nje
- Tovuti[1]
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baraza la Sanaa Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya