Aston Villa F.C.
klabu ya Mpira wa Miguu huko Birmingham, Uingereza
Aston Villa F.C. (majina ya utani: Villa, The Villa, The Villans na Lions) ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko huko Aston katikati ya mji wa Birmingham, Uingereza. Klabu ya soka ya Aston Villa iliundwa mwezi Machi 1874. Waanzilishi wanne wa Aston Villa walikuwa Jack Hughes, Frederick Matthews, Walter Price na William Scattergood.[1][2]
Aston Villa F.C.
Kuanzishwa | 21 Novemba 1874 ![]() |
---|---|
Jina rasmi | Aston Villa Football Club ![]() |
Nickname | Οι Χωριάτες, The Villa, The Lions, The Claret & Blue Army ![]() |
Mchezo | Mpira wa miguu ![]() |
Mwenyekiti | Nassef Sawiris ![]() |
Nchi | Ufalme wa Muungano ![]() |
Kocha mkuu | Unai Emery ![]() |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza ![]() |
Mahali pa nyumbani | Villa Park ![]() |
Inamilikiwa na | Wes Edens, Nassef Sawiris ![]() |
Mmiliki | Villa Park ![]() |
Eneo la makao makuu | Aston ![]() |
Tovuti | https://www.avfc.co.uk/ ![]() |
Historia ya mada | history of Aston Villa F.C. ![]() |
Rangi inayotambulika | bordeaux, sky blue ![]() |
Jamii ya washiriki | Category:Aston Villa F.C. players ![]() |
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d3/160430_Watford_v_Aston_Villa-777_%2826750206616%29.jpg/220px-160430_Watford_v_Aston_Villa-777_%2826750206616%29.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b6/VillaPark_PanoramaFromTrinityRoadStand.jpg/220px-VillaPark_PanoramaFromTrinityRoadStand.jpg)
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Aston Villa F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia