Areopago
Areopago(kutoka Kigiriki Ἄρειος Πάγος) ni mwamba uliotokeza juu ya Akropoli ya Athens, mji mkuu wa Ugiriki.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0d/Areopagus_hill.jpg/220px-Areopagus_hill.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/ba/Ariospagos.jpg/220px-Ariospagos.jpg)
Ilitumika kama mahakama[1] na kama mahali pa midahalo ya kifalsafa.
Kwa sababu hiyo Mtume Paulo alipotaka kuhubiri Ukristo alialikwa kwenye Areopago. Hotuba hiyo maarufu inapatikana katika Mdo 17.
"Areopago mamboleo" inamaanisha mitandao na vyombo vya habari ambavyo ni uwanja mpya wa kuwasiliana na kueneza mawazo kati ya watu wa nyakati hizi.
Tanbihi
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Areopago kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia