Antoku wa Japani
Antoku (22 Desemba, 1178 – 25 Aprili, 1185) alikuwa mfalme mkuu wa 81 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tokohito, na alikuwa mwana wa Tenno Takakura. Mwaka wa 1180 alimfuata babake. Ingawa mdogo wake, Go-Toba, alitangazwa kumfuata mwaka wa 1183, Antoku akachukuliwa na kukimbia mji mkuu, yaani kulikuwa na wafalme wawili hadi kifo chake Antoku.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/61/Emperor_Antoku.jpg/220px-Emperor_Antoku.jpg)
Angalia pia
![]() | Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antoku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia