Amine Aboulfath

Amine Aboulfath ni mchezaji wa soka kutoka Morocco anayecheza kama beki wa kati katika klabu ya Wydad AC.[1] [2]

Taaluma

Wydad AC

Tarehe 10 Septemba 2022, alishiriki chini ya kocha wake mpya Hussein Ammouta katika fainali ya CAF Super Cup dhidi ya RS Berkane.[3]

Mafanikio

Wydad AC

  • Botola: 2020–21, 2021–22
  • CAF Champions League: 2021–22

Marejeo

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amine Aboulfath kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.