Amando wa Maastricht
- Makala
- Majadiliano
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Amando wa Maastricht (Nantes, leo nchini Ufaransa, 584 hivi - Elnon, Ufaransa, 679 hivi) alikuwa mmonaki, halafu mkaapweke, tena mmisionari katika maeneo mbalimbali ya Ulaya, hasa Ubelgiji, lakini pia kwa Waslavi wa Ulaya Mashariki, na askofu mkuu wa Tongres na Maastricht, leo nchini Ubelgiji[1].
Hatimaye alijifungia katika monasteri aliyoianzisha.
Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 6 Februari[2].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |