Alvin and the Chipmunks: Chipwrecked
Alvin and the Chipmunks: Chipwrecked ni filamu ya vichekesho ya nchini Marekani iliyotoka mwaka 2011 na kuongozwa na Mike Mitchell na ni moja ya mfululizo wa filamu za katuni zinazojulikana kama Alvin and the Chipmunks .Wahusika wakuu katika filamu hii ni Jason Lee , David Cross , Jenny Slate,Justin Long, Matthew Gray Gubler, Jesse McCartney, Amy Poehler, Anna Faris, Christina Applegate .
Filamu hii ilizinduliwa mnamo tarehe 16 Desemba 2011 na kugharimu jumla ya dola za kimarekani milioni themanini ,Filamu nyingine katika mfululizo wa filamu hizi,filamu ya The Road Chip, ilizinduliwa mano mwezi Desemba 18 mwaka 2015.[1]
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alvin and the Chipmunks: Chipwrecked kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia