Altaneta

Altaneta (kutoka Kiingereza: alternator; pia: kigeuzioumeme) ni dainamo inayozalisha mkondo geu wa umeme[2] ili kutoa umeme wenye nguvu zaidi na kuuelekeza kunakotakiwa katika mfumo wa uzalishaji nguvu wa umeme.[3]

Altaneta ya mwaka 1909.[1]

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.