Allison Crimmins
Mtaalamu wa hali ya hewa wa Marekani
Allison Crimmins ni mwanasayansi wa hali ya hewa nchini Marekani na mkurugenzi wa tathmini ya hali ya hewa tangu mwaka 2021 hadi sasa.[1] Aliteuliwa na Rais Joe Biden na kuchukua nafasi ya Betsy [2]. Betsy aliyeteuliwa na raisi Trump. Allison Crimmins ana shahada ya uzamili ya sayansi katika chuo kikuu cha san Francisco. Pia ana shahada ya sera za umma kutoka chuo kikuu ya Harvard kennedy. Allison Crimmins alifanya kazi na shirika la U.S global change Research program mnamo mwaka 2006.
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Allison Crimmins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia