Alberti Chmielowski
Albert Chmielowski, C.F.A.P.U. (Igołomia, Dola la Russia, 1845 – Krakow, Austria-Hungaria, 1916) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki katika Polandi ya leo aliyeanzisha shirika la Mabradha na Masista Waalberti.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/89/Brat_Albert.png/235px-Brat_Albert.png)
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Juni 1983, halafu mtakatifu tarehe 12 Novemba 1989.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Desemba[1].
Tazama pia
Tanbihi
Picha
- Ecce Homo
mchoro wa Adam Chmielowski (1881) - Picha ya Chmielowski
iliyochorwa na Aleksander Gierymski - Bradha Alberti
kadiri ya Leon Wyczółkowski (1934)
Viungo vya nje
- The Plays of John Paul II Archived 9 Julai 2014 at the Wayback Machine.
![]() | Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya