Akili
Akili (kwa Kiingereza "intelligence") ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katika ubongo wa binadamu, unaoweza hata kutofautisha jambo kwa wema na ubaya wake na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi.
Ingawa akili kwa ujumla hutumiwa kuhusiana na binadamu, baadhi ya wanyama kama sokwe, bonobo, mbwa [1] n.k. na hata mimea [2] [3] huwa na dalili fulani za akili.
Dhana kuhusu asili ya akili zinatofautiana.
Akili bandia ni akili ya mashine inayopatikana kwa kutumia programu za kompyuta.
Marejeo
Viungo vya nje
- APA Task Force Examines the Knowns and Unknowns of Intelligence - American Psychological Association, Press release
- The cognitive-psychology approach vs. psychometric approach to intelligence Archived 7 Mei 2012 at the Wayback Machine. - American Scientist magazine
- History of Influences in the Development of Intelligence Theory and Testing Archived 11 Novemba 2007 at the Wayback Machine. - Developed by Jonathan Plucker at Indiana University
- [1] Intelligence homepage
- [2] International Society for Intelligence Research homepage
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Akili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia