Argentina
(Elekezwa kutoka Ajentina)
Argentina ni nchi kubwa ya pili ya Amerika Kusini. Ina eneo la km² 2,780,400 kati ya milima ya Andes upande wa magharibi na Bahari ya Atlantiki upande wa mashariki.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: En Unión y Libertad ("Katika umoja na uhuru") | |||||
Wimbo wa taifa: Oíd, mortales, el grito sagrado: Sikilizeni mlio mtakatifu ewe ninyi wenye kufa | |||||
Mji mkuu | Buenos Aires | ||||
Mji mkubwa nchini | Buenos Aires | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali Rais | Jamhuri Javier Mikei | ||||
Uhuru Mapinduzi ya Mei Tangazo la uhuru wa Argentina imetambuliwa | 25 Mei 1810 9 Julai 1816 1821 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) | 2,780,400¤ km² (ya 8) 1.1 | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu | 42,669,500 (ya 32) 40,117,096 14.4/km² (ya 212) | ||||
Fedha | Peso ya Argentina (ARS ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) | ART (UTC-3) ARST (UTC-3) | ||||
Intaneti TLD | .ar | ||||
Kodi ya simu | +54 - | ||||
¤ Argentina ina fitina na Uingereza kuhusu visiwa vya Falkland (Malvina), Visiwa vya South Georgia na South Sandwich na sehemu ya Antaktika. |
Imepakana na Paraguay, Bolivia, Brazil, Uruguay na Chile.
Kuna madai dhidi ya Uingereza juu ya visiwa vya Falkland (Malvina), Visiwa vya South Georgia na South Sandwich na sehemu ya Antaktika.
Watu
Wakazi wengi (97%) wana asili ya Ulaya na Mashariki ya Kati, hasa Italia (55%) na Hispania.
Lugha yao ya kawaida ni Kihispania na dini rasmi ni Ukristo wa Kanisa Katoliki (76.5%). Asilimia 9 ni Waprotestanti.
Miji
Miji mikubwa zaidi ni:
- Buenos Aires, ambao ndio mji mkuu
- Córdoba
- Rosario
- Mendoza
- San Miguel de Tucumán
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
- (Kihispania) (Kiingereza) (Kireno) Tovuti rasmi
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini |
Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela |
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Argentina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya