Adili (fasihi)
Adili katika fasihi ni funzo linalopatikana katika kazi ya sanaa kama hadithi, shairi au tamthiliya.
Hasa kazi zinazo mwelekeo wa kimaadili kama vitabu vya Kiswahili vya Shaaban Robert zina funzo, yaani mafundisho juu ya wema, haki na wajibu.
Marejeo
- Oriedo, Hannington 2007, "Istilahi za Fasihi ya Kiswahili", Nairobi: Kenya Literature Bureau
- Wamitila, Kyallo 2003, “Kamusi ya Fasihi – Istilahi na Nadharia”, Nairobi: Focus Books
Tazama pia
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adili (fasihi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia