6 Juni

tarehe
Mei - Juni - Jul
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 6 Juni ni siku ya 157 ya mwaka (ya 158 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 208.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Norbert wa Xanten, Artemi na Paulina, Besarioni wa Misri, Serati, Eustoji II, Yarilati, Klaudi wa Condat, Aleksanda wa Fiesole, Hilarioni Kijana, Kolmani wa Orkney, Gilbati wa Neuffonts, Marselino Champagnat, Petro Dung, Petro Thuan, Visenti Duong, Rafaeli Guizar n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 6 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.