18 Novemba
tarehe
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Novemba ni siku ya 322 ya mwaka (ya 323 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 43.
Matukio
Waliozaliwa
- 1786 - Carl Maria von Weber, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1897 - Patrick Blackett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1948
- 1906 - George Wald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 1939 - John O'Keefe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
- 1977 - Fabolous, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
- 1886 - Chester Arthur, Rais wa Marekani (1881-1885)
- 1922 - Marcel Proust, mwandishi kutoka Ufaransa
- 1941 - Walther Nernst, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920
- 1952 - Paul Eluard, mshairi kutoka Ufaransa
- 1962 - Niels Bohr, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1922
- 1965 - Henry Wallace, Kaimu Rais wa Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya kutabaruku mabasilika ya Mtume Petro na Mtume Paulo, lakini pia ya watakatifu Romano wa Kaisarea, Teofredo abati, Odo wa Cluny, Filipina Duchesne n.k.
Viungo vya nje
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya