Kisylheti
Lugha ya Indo-Aryan inayozungumzwa nchini Sylhet
Kisylheti ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Bangladesh na Uhindi inayozungumzwa na Wasylheti. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisylheti nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni tatu, na nchini Bangladesh kuna wasemaji milioni saba. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisylheti iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
- lugha ya Kisylheti kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisylheti
- lugha ya Kisylheti katika Glottolog
- lugha ya Kisylheti kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisylheti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia