Brian Chikwava

Mwandishi wa Zimbabwe

Brian Chikwava, ni mwandishi na mwanamuziki wa nchini Zimbabwe . Hadithi yake fupi ya "Seventh Street Alchemy" alitunukiwa Tuzo ya Caine mnamo 2004 kama mwandishi bora wa Kiafrika kwa lugha ya Kiingereza na alikua Mzimbabwe wa kwanza kufanya hivyo.[1] Alikua na rafiki yake anayeitwa Charles Pick walipokua katika Chuo Kikuu cha East Anglia, na Charles Pick anaishi huko Londoni. Anaendelea na kazi yake nchini Uingereza na ametoa albamu yenye jina la Jacaranda Skits.[2]

Brian Chikwava baada ya kusoma huko NUI Maynooth.

Maisha ya nyuma

Brian Chikwava alizaliwa huko Victoria Falls, Zimbabwe, mwaka 1971. Alienda shule ya bweni huko Bulawayo, na kuendelea kusomea uhandisi wa ujenzi katika Chuo Kikuu cha Bristol. [3] Aliishi London mwaka 2004.[4][5]


Marejeo

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Chikwava kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.