Ben Freeth

Mwanaharakati wa Zimbabwe

Benjamin Freeth, MBE (23 Agosti 1971) ni mkulima mweupe kutoka Zimbabwe na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka wilaya ya Chegutu katika mkoa wa Mashonaland magharibi, Zimbabwe.[1][2]

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ben Freeth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.