Bah Ndaw
Bah Ndaw (pia imeandikwa N'Daw, N'Dah, na N'Daou; alizaliwa 23 Agosti 1950) ni afisa wa jeshi na mwanasiasa wa Mali.
Ametumikia kama Rais wa Mali tangu tarehe 25 Septemba 2020 hadi alipopinduliwa tarehe 24 Mei 2021. Kati ya Mei 2014 na Januari 2015, alikuwa Waziri wa Ulinzi.
![]() | Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bah Ndaw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia