Mto Ndiliu unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.