Kithu-Lao
- Makala
- Majadiliano
Kithu-Lao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Walao. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kithu-Lao imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kithu-Lao iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kithu-Lao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |