Hifadhi ya Taifa ya Blue Lagoon
- Makala
- Majadiliano
Hifadhi ya Taifa ya Blue Lagoon ni kimbilio dogo la wanyamapori katika sehemu ya kaskazini ya Kafue Flats katika Jimbo la Kati la Zambia . Ina eneo la kilomita za mraba 500 na inapatikana takribani km 100 magharibi mwa Lusaka.
Njia kuu ya Mto Kafue ni takriban km 10 kusini mwa mpaka wa mbuga ya kusini.
Makundi ya Kafue Lechwe yanaonekana katika maeneo yaliyofurika maji, na idadi kubwa sana ya ndege inapatikana katika hifadhi hiyo, hasa ndege wa majini. [1]
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |